Sikiliza nyimbo Zangu kwa Kudownload Mziiki App Bonyeza Link hii>> kwa kusikiliza na Kuenjoy!

DIARY YA JUMAPILI HII YA TAR 7 JULY 2013 - ITAKUWA NA YAFUATAYO

Kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku EATV unapata nafasi ya kuangalia Diary ya Lady Jay Dee
Marudio yake ni kila Jumatatu saa 8:00 mchana na kila Alhamis saa 2:30 Usiku
 

Jumapili hii inayokuja yaliyomo ndani ya Diary ni pamoja na:
Muungano wa Jide na Q-Chief katika wimbo mpya
Utapata kuona wauza mitumba wa kinondoni manyanya ambao wame join ku support Team Anaconda kwa mapenzi yao bila kulazimishwa.
 
Hivyo kupelekea JayDee kufanya shopping hapo
 
Na pia utapata nafasi ya kuona semina ya mafunzo ya kuondoa umaskini na njaa kwa wanawake wajasiriamali toka pande zote za nchini Tanzania.
Hafla iliofanyika chini ya mfuko wa fursa sawa kwa wote
Ambapo mwenyekiti wa mfuko huo ni Mama Anna Mkapa
Usikose kuangalia DIARY YA LADY JAYDEE kila Jumapili 3:00 Usiku, Jumatatu 8:00Mchana na Alhamisi 2:30 Usiku
Ndani ya EATV kwa udhamini mkubwa wa
AIRTEL