Sikiliza nyimbo Zangu kwa Kudownload Mziiki App Bonyeza Link hii>> kwa kusikiliza na Kuenjoy!

CHEF WAKO AMERUDI TENA WIKI HII KATIKA LUNCH BUFFET NYUMBANI LOUNGE

Wiki hii pita uki enjoy lunch matata kabisa toka kwa Chef Jide
Na Jumanne ya leo yaliyomo ni pamoja na

Wali wa Mboga mboga
Ugali wa Sembe
Pancakes
Bamia za kukaanga
Redsnapper wa mchicha


Chicken Mushrooms
Nyama ya ng'ombe roast
Maharage

Starters ni Vegie Soup

Ukinunua plate ya chakula unapata kinywaji baridi kimoja cha bure, iwe ni soda, maji au fresh juice ya chaguo lako.

Vile vile utapata kutumia internet bure kabisa kutoka WIA

Nyumbani Lounge kila siku za Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 6:00 mchana mpaka saa 10:00 jioni tunahudumia LUNCH

Karibu wewe na mwenzako