Sikiliza nyimbo Zangu kwa Kudownload Mziiki App Bonyeza Link hii>> kwa kusikiliza na Kuenjoy!

ALHAMIS YA LEO YANAYOJIRI KWENYE LUNCH BUFFET NI KAMA YAFUATAYO

Ugali ni kila siku iendayo kwa Mungu
Fresh juice, soda na maji vya kwanza ni bure
Free WiFi Internet powered by WIA

Kuna pilau


Beef yenye Mushrooms

 Kuku ya rojo

 Fried Fish

Ndizi tamu za kukaanga
 
Kuna kachumbari
Kuna Njegere za Nazi
Kuna ndizi mbivu kwa desert
 
Nyumbani Lounge lunch buffet
Ni kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa
Kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 10:00 jioni