Sikiliza nyimbo Zangu kwa Kudownload Mziiki App Bonyeza Link hii>> kwa kusikiliza na Kuenjoy!

WEDDING BELLS


 
Rais wa Afrika ya kusini Mh. Jacob Zuma anategemewa kuoa mke wa nne Bi.Gloria Bongi Ngema pichani. 
Rais Zuma anategemea kufunga ndoa hiyo week end ijayo, msemaji wake mkuu amethibitisha hilo

Wakati huo, wapenzi wengine wa muda mrefu tangu 2005 wanatarajiwa kufunga ndoa.
Ni Brad Pitt ambae ameamua kumvisha pete rasmi ya uchumba Angelina Jolie

Ambae ana watoto nae 6, watatu ikiwa ni damu yao na watatu waku adopt.
Hii itakuwa ni ndoa ya pili kwa Brad Pitt baada ya kuachana na Jenifer Aniston, lakini kwa Angelina Jolie itakuwa ni ndoa yake ya tatu....Kwani kuna wawili huko nyuma walitangulia lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana kudumu na kuwa pamoja