Sikiliza nyimbo Zangu kwa Kudownload Mziiki App Bonyeza Link hii>> kwa kusikiliza na Kuenjoy!

SEHEMU ZINAKOPATIKANA CD ZA ALBUM YA 5


Kwa wale wanaoulizia CDs zinapatikana wapi, nimeona nitoe jibu la pamoja kurahisisha mambo.

DAR ES SALAAM:
Zinapatikana:
1. Mtaa wa MKWEPU karibu na Posta, pembeni ya duka la MSAMA MUSIC CENTER


2. SHEAR ILLUSIONS - Mlimani  City
3. KILIMANJARO AUDIO CENTER - karibu na Corner Bar Sinza
4. Traffic Lights za PALM BEACH -Ali Hassan Mwinyi Road
5. NYUMBANI LOUNGE

MIKOANI:
Piga simu namba 0767 884 007
au e-mail: nyumbanilounge@gmail.com

Ni matumaini yangu kuwa, maelezo haya yatakuwa yamesaidia kwa njia moja ama nyingine.
Poleni kwa usumbufu wowote uliojitokeza